馃幆 Vision:

AFRICAN BILLIONAIRE ACADEMY

<aside> "This is not just a group. It's a billionaire transformation ground."

</aside>

KARIBU ABA

馃敯 Karibu kwenye African Billionaire Academy (ABA)

VISION & MISSION YA ABA

Kufikia mwaka 2030, ABA iwe Kituo Kuu cha kufundisha vijana wa Kiafrika jinsi ya kuwa elites wenye utajiri wa kweli kupitia elimu ya pesa, trading, na digital power.

馃幆 Mission:

Kuvunja fikra finyu, umasikini na matrix Afrika, na kujenga kizazi cha vijana wanaojitambua, wanaojitegemea, na wenye malengo makubwa ya mabadiliko.

VIONGOZI WAKUU

馃敱 Mr. Antony R. Yohana

The Billionaire Mind Architect

Mtaalamu wa trading, mindset coaching, na founder mwenye maono ya kuona Afrika ikiandaa vijana wenye akili za utawala na utajiri.

馃敱 Mr. Peter

Strategic Coach & Execution Leader

Mwalimu wa nidhamu ya mafanikio, entrepreneurship execution, na accountability lifestyle. Anasimamia kuweka mikakati kuwa matokeo.

MFUMO WA ABA

ABA inasimama juu ya nguzo kuu 4:

1. TRADING SKILLS 路Kujifunza crypto, market structure, risk management路Kupata signals, mentorship, na capital growth
2. DIGITAL BUSINESS 路Kutengeneza bidhaa za kidigitali路Kujifunza kuuza online, AI & content monetization
3. MINDSET & REPROGRAMMING 路Kuondoa fikra za umaskini路Kusikiliza hypnosis, kutumia affirmations, journaling
4. ACCOUNTABILITY SYSTEM 路Daily tasks路Core 10 support system路AI & Human mentorship

JINSI YA KUTUMIA PLATFORM

DAILY ROUTINE YA MWANA-ABA

Asubuhi:

Mchana:

Jioni:

VITU VYA KUANZA NAVYO SIKU YA KWANZA